BOLLYWOOD WAMPATA RAMBO WA KIHINDI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Friday, May 19, 2017

demo-image

BOLLYWOOD WAMPATA RAMBO WA KIHINDI

R-2

BollyWood wanatengeneza filamu ya Rambo ya Kihindi, anayefanana na Sylvester Stallone kapatikana….

Muigizaji wa India Tiger Shroff ataigiza kama RAMBO kwenye filamu ya Rambo ya kihindi inayoanza kutengenezwa BollyWood.

Tiger Shroff ameonekana kufanana na Sylvester Stallone na kupewa shavu la kufanya filamu hii itakayoongozwa na Siddharth Anand wa (Bang Bang) akisaidiwa na M! Capital Ventures, Original Entertainment, Impact Films na Siddharth Anand Pictures.

R-1


Filamu hii imetajwa kutoka mwaka 2018, Tiger Shroff ni muigizaji mzuri wa filamu za ngumi.

Stori itahusu Rambo wa kihindi kurudi nyumbani na kukuta bado kuna vita kwenye mitaa anayoishi na familia yake.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *