R.I.P Reema Lagoo - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Friday, May 19, 2017

demo-image

R.I.P Reema Lagoo

R.I.P
Mwanamama Staa wa filamu za kihindi, Reema Lagoo, ambaye pia atakumbukwa kuigiza kwenye filamu maarufu ya kihindi ya 'Kuch kuch hota hai' amefariki dunia.
2
Reema Lagoo alizaliwa tarehe 21 Juni 1958 na kufariki jana tarehe 18 Mei 2017
reemalagoo
Reema Lagoo alianza sanaa yake filamu katika ukumbi wa sanaa za maonnyesho Marathi Theatre miaka ya sabini.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *