Wednesday, June 28, 2017

RayVanny afanya colabo na staa wa muziki Marekani Jason Derulo
WCB Super Star RayVanny amefanya
wimbo na RnB Star kutoka Marekani
Jason Derulo. Wasanii hawa wamerekodi ngoma mpya kwenye nyumba
ya Jason
mjini Los Angeles,
Nchini Marekani.
RayVanny ambaye ni mshindi wa tuzo ya BET Viewer’s Choice Best New
International Act 2017 alikutana na Jason Derulo kwa mara
ya kwanza kwenye kazi za Coke Studio nchini Kenya.
Tags
# BURUDANI
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
“Mtamkumbuka na Mtalia” Lampard awaambia Chelsea kuhusu Costa
Older Article
CHELSEA YAANZA KUWAUZA VIJANA WAKE KUSAKA FEDHA ZA USAJILI WA BAKAYOKO
RAIS MWINYI: ASANTENI WASANII WOTE KWA KUNIUNGA MKONO
Hassani MakeroJan 24, 2025Light Upon Light Summit in Zanzibar Set to Inspire and Unite Global Muslim Community12th & 13th October 2024.
kilole mzeeSept 30, 2024BENDI ZA MUZIKI WA DANSI KUWASHA MOTO TAMASHA LA USIKU WA WAFIA DANSI JIJINI DAR ES SALAAM
Hassani MakeroMay 12, 2022
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment