VODACOM TANZANIA FOUNDATION YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA MASHINDANO YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU (MAKISATU 2020) - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, July 8, 2020

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA MASHINDANO YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU (MAKISATU 2020)


Baadhi ya wawakilishi kutoka Wizara Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) wakipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni tano kutoka kwa Grace Chambua Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati iliyotolewa kwa mmoja wa shindano la Kitaifa wa shindano la Teknolojia ya ubunifu (makisatu 2020) lililofanyika Jijiji Dodoma mwezi machi mwaka huu uwanja wa Jamhuri. Vodacom walitoa shilingi milioni 20 kwa washindi wa ubunifu kwa shule za Msingi na Seondari.
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha (kushoto) wakati wa hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu iliyofanyika jana Jijini Dodoma. Vodacom ilitoa shilingi milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo.
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua akizungumza kwenye hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu lililofanyika machi mwaka huu na zawadi zake kukabidhiwa jana Jijini Dodoma. Vodacom ilitoa shilingi milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo upande wa wabunifu wa Shule za Msingi na Sekondari.
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua (kulia) akiwa na Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Profesa James Mdoe walipokuwa kwenye hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu lililofanyika machi mwaka huu na zawadi zake kukabidhiwa Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages