Tuesday, January 30, 2018

Zawadi kem kem promosheni ya Jero Yako ya Zantel
Meneja Masoko wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kwa Bwana Moiz Johar Hussein Hassanali mmoja wa washindi wa wiki wa promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ambayo mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki. Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu hutolewa kila wiki.
Meneja Masoko wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa akizungumza katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi huyo Bwana Moiz Johar Hussein Hassanali.
Meneja Masoko wa Zantel, Bi. Rukia Mtingwa (kulia) akipiga simu kwa kwa simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya Jero yako ya Zantel huku mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kuabahatisha Jehud Ngolo (kushoto) akisikiliza pamoja na mfanyakazi mwingine wa Zantel katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Zantel mjini Zanzibar, Mohammed Mussa Baucha (kulia), akikabidhi zawadi ya simu kwa Taimur Mohamed Hussein mmoja wa washindi wa promosheni ya Jero yako, kisiwani humo juzi.
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam, watakiwa kujenga mazoea ya kunawa mikono.
Older Article
Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam waliodhulumiwa Mali zao wamiminika katika Ofisi za RC MAKONDA
Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery
Hassani MakeroMar 11, 2025Benki ya NBC Yaandaa Hafla ya Futari Zanzibar, Yajivunia Ongezeko la Wateja
Hassani MakeroMar 07, 2025BITEKO AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA RASHAL ENERGIES, INAYOJENGA BOMBA LA GESI KISEMVULE-MBAGALA
Hassani MakeroMar 07, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment