UBALOZI WA MAREKANI WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI KWA WANAMITANDAO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, March 21, 2017

UBALOZI WA MAREKANI WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI KWA WANAMITANDAO



Mkurugenzi wa Mtandao wa www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya uandishi wa habari (Multmedia Journalisim) kutoka kwa Mkufunzi Ricci Shriyock kutoka nchini Senegal mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo yaliyoandaliwa , kufadhiliwa na Kufanyika kwenye Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam nchini Tanzania washiriki wa mafunzo hayo ambao ni wanahabari wa Mitandao ya kijamii wamekabidhiwa wamekabidhiwa vyeti hivyo leo Ubalozini hapo.




Mwanablog Shamim Mwasha wa 8020fashion akipokea cheti chake.




Mwanablog Freddy Njeje wa Blog za Mikoani akipokea cheti chake.









Mwanablog Josephat Lukaza wa Lukazablog akipokea cheti chake.






Mwanablog Vero kutoka mkoani Arusha akipokea cheti chake.






Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabloga Tanzania Bloggers Network Krantz Mwantepele ambaye pia alikuwa mratibu wa mafunzo hayo akipokea cheti chake.






Missi Populer akipokea cheti chake mara baada ya mafunzo hayo.






Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa.






Mkufunzi wa Mafunzo hayo Ricci Shryock akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo hayo.






Baadhi ya washiriki wakifurahia jambo kutoka kwa mkufunzi huyo wakati wa mafunzo hayo.






Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages