Wednesday, February 7, 2018

AIRTEL KWAHUDUMA HIZI MUNGU ANAWAONA
Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imezindua Promosheni ya Shinda na Smatika kupitia kifurushi cha yatosha chenye lengo la kuwazawadia Wateja watakaojiunga na huduma ya Bando za Yatosha Smatika Intaneti.
Akiongea leo katika uzinduzi wa Promosheni hiyo, Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania ISACK NCHUNDA amesema promosheni hiyo inalenga wateja wa Intaneti ambao watanunua kifurushi cha bando ya Yatosha SMATIKA Intaneti,ambapo watanufaika na huduma hiyo hivyo ametoa hamasa kwa wateja kuendelea kutumia huduma za intaneti amabazo ni nafuu na rahisi.
Amesma huduma ya bando nafuu za Yatosha SMATIKA Intaneti ilizinduliwa mwishoni mwa mwaka jana zilizolenga kutoa uhuru kwa mteja wa Airtel kote nchini kujiunga banddo la Intaneti KABAMBE wkati wowote.
"Mteja wa Airtel anaweza kunufaika na Yatosha SMATIKA Internet kwa gharama nafuu zaidi ya hadi shilingi 200 na kujipatia MB 40,vilevile ofa hii inamwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elifu mbili pekee"Amesema Nchunda.
Nchunda amesema kuwa promosheni hiyo itakuwa ya uwazi na wateja hawahitaji kujisajili ila anachotakiwa kufanya ni kuwa na laini ya Airtel na kuweza kujiunga na kifurushi hicho kwa kupiga *149*99# na kuweza kuchagua kifurushi.
"Mteja wetu anachotakiwa kufanya ni kuwa na laini ya Airtel tu halafu atajiunga kwenye kifurushi cha yatosha Smatika Intaneti kwa kupiga *149*99# halafu unachagua namba 5 Yatosha Smatika Intaneti,hapo utanunua bando ya siku au ya mwezi kadri uwezavyo na kuwa mmoja wa washndi wa zawadi zetu kabambe"Amesema mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania.
"Promosheni ya Sinda na Yatosha SMATIKA Inteneti itadumu kwa siku 30huku kukiwa na droo taatu kila wiki yaani Jumatatu,ajumatano na Ijumaa,ambapo droo za kila siku wateja 1000 wataweza kujishindia bando ya Intaneti yenye 1GB kila mmoja wakati kweye droo kubwa watakuwepo washindi 10 ambao watano kati yao watajishindia simu za Smatiphone na watano watajishindia moden"amesema Nchunda.
Tags
# BIASHARA
Share This
About kilole mzee
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
WATEJA 2000 WA AIRTEL WAJINYAKULIA ZAWADI.
Older Article
DIWANI MDOE AANZA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA KATA SALANGA
AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAPELEKA TABASABU KITUO CHA KULELEA WATOTO CHAKUWAMA
kilole mzeeMar 28, 2025Taasisi za Ulinzi wa Mlaji zimetakiwa kushirikiana na FCC
Hassani MakeroMar 21, 2025Safari ya Mafanikio ya NHC na Miaka Minne ya Mafanikio ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassani
Hassani MakeroMar 20, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment